kuna nafasi za kazi kwenye stationery ya KARAGWE PRINTING TECHNOLOGIES LIMITED - KPTL.
Tuma email ya maombi kwenye e-mail ifuatayo;
karaprint@hotmail.com
na kwa msaada wa maelekezo zaidi...
wanapatikana popote utakapowahitaji including in schools. for primary and secondary schools. teaching english, swahili, history, civics, geography. ukiwahitaji ni PM.
EMPLOYMENT OPPORTUNITY – FINANCE & ADMINISTRATIVE MANAGER
ECHO exists to reduce hunger and improve lives through agricultural training and resources. It is a non-sectarian Christian NGO...
Jamani hivi naruhusiwa kuapply nafasi za kazi zaidi ya tatu kama mwajiri ni mmoja na nafasi zimetoka siku moja lakini ni nafasi mbalimbali mfano hizi za utumishi nafikiri mmenielewa wakuu...
Habari zenu wakuu mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 26 nimehitimu shahada ya kwanza ya jinsia na maendeleo katika chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere mwaka 2011, ninatafuta kazi tajwa hapo...
Anahitajika mtanzania mwenye elimu ya kidato cha 6 na basic skills kwenye management, ambae anaweza kuongoza watu 10 kwenye biashara ya mtaji wa Million 10.
Mshahara ni 450,000 kwa mwezi...
wanajamvi wenzangu najua sote tutafutao kazi ipo siku tutapata na haya yoote yanayotupata kipindi hiki kigumu yatabaki stori, hata sisi ambao tulishapata bado tunaangalia green pasture ndo maana...
If you want to know on you can employe yourself,and be successful in your business don't hesitate to call us.
We train and show you a chance on self employment.
contact:0716-262046,0716-484559...
Hivi nafasi wanazozitangaza zinawasaidia vipi vijana ktk kujikwamua kimaisha?.Je kuna ukweli wowote?.Naomba kwa yule yeyote anayefanya kazi kwenye hili shirika tena kwenye kazi nje nje...
Hi! Mabibi na mabwana. Sijui ni Kiswahili sanifu? Sababu kuna mabinti na wavulana humu ndan! NAOMBA NIJUZWE AJIRA Zilizotangazwa na serikali ni za sekta gani?AU NDO ZLE NAFASI 2556 zilizokuwa...
Habari wakuu
Naomba msaada wenu, nahitaji kujua mshahara wa serikali TGF kwa mwaka 2009/2010 ulikuwa sawa na shilingi ngapi pia na wa 2010/2011 nao TGF ilikuwa shilingi ngapi?
Habari wanajamii forum, am new here na mara nyngi huwa napitia yanayojadiliwa umu... Am looking for temporary job in dar es salaam from july to october during my likizo. Am university student...
mbona kazi za karibuni wanaanza kuita intaview kabla ya zile za mwanzo?
mfano wale wakala wa vipimo ilikuja baada ya state atorney chamber vacancy, au ndo wameshaitana wenyewe? na maaaaafisa...
Position: Operation Manager
(3 POST)
Company Profile
Our client is one of the major inbound tour operators in Tanzania, Kenya ,Uganda and South Africa
Duties and Responsibility:
In charge...
1. Submitting the Wrong Resume
It's actually a good idea to have a different version of your resume for each position you apply for (or at least, a couple versions for different types of jobs)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.