ongeza kipato kwa kujiajiri

ongeza kipato kwa kujiajiri

frank mayige

Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
61
Reaction score
11
kama kijana ulie maliza elimu yako nzuri nakupoteza muda mwingi katika masomo
pengine ingekuwa vizuri kupata fursa ya kujiajiri japo kwa mtaji mdogo, huku ukitafuta pesa kidogo ya kufanyia application, kuliko kutafuta kazi ukitegemea kuomba pesa kwa wazazi au marafiki ubunifu kwanza jamani, ni hayo tuu wandugu.
 
ungeonekana wa maana kam ungeonesha mfano,jinsi ya kufanya. huna llolote la maana ulilolieleza,
 
....alikuwa anajifurahisha tu, but ni ushauri toa na mfano mkuu..
 
wewe si ushapata ndo maana watoa kashfa sasa poa bana ila hujaandika la maana bora ungetoa mfano na ushuuda wako tungekusoma otherwise ulichikiandika ni pumba!!
 
kwa kwel pumba tena pumba,nani asiye lijua hlo?au unahc watu ni mbulula kiasi hcho?hawana tu way out
 
Nilidhani umeshabuni kazi fulani, kumbe mapepo tu.
 
nilijua amebuni kitu anajaribu kusaidia wengine kumbe hamna kitu looh!
 
watu mkiambiwa mbuni shugul za kufanya mnaponda! Achen asila sifa ya kwanza ya msomi ni kupunguza asila,kuvijua vitu vizuri na kufikilia nakutumia njia nzuri katika kufanikisa malengo.hivyo kejel au kumtukana mtu aliyekushaur inadhihilisha mnavye lakin ujuzi wenu unasuasua.Elimu yangu degree regional development planning. chuo Irdp
 
Msameheni bure, ugeni katika jukwaa unachangia.
 
Back
Top Bottom