Je Kampuni gani zinatengeneza electronics products/circuits hapa Tanzania?

Je Kampuni gani zinatengeneza electronics products/circuits hapa Tanzania?

Fikra Pevu

Senior Member
Joined
Oct 13, 2010
Posts
128
Reaction score
20
Mimi ni mtu ambaye napenda sana kutengeneza electronic products. Nimemaliza chuo mwaka jana na baada ya hapo nimetumia muda wangu mwingi kufuatilia electronics design industry ilivyo kwa sasa duniani.
Hii ni pamoja na tools and technologies ambazo zinatumika katika ku-design electronics products.

Nimejaribu kutafuta makampuni ambayo yanafanya kazi ya ku design electronics products/circuits hapa nchini pasipo mafanikio.
Kwa hiyo kwa mtu yeyote ambaye anafahamu makampuni hayo au anafanya kazi kwenye makampuni hayo au anamiliki kampuni hiyo naomba anisaidie kuyajua yalipo. Natamani sana nianze career yangu in electronics design.
 
Back
Top Bottom