Msichana anahitajika kufanya secretarial duties and sales

Msichana anahitajika kufanya secretarial duties and sales

sandet

Senior Member
Joined
Mar 27, 2010
Posts
118
Reaction score
112
Habari Wana JF,

Nahitaji MSICHANA mwenye uzoefu wa kazi za SECRETARIAL SERVICES.

Ofisi ipo maeneo ya KIJENGE, Arusha,

SIFA:
  1. Form IV
  2. Certificate or Diploma in Secretarial Studies
  3. Knowledge of sales and Marketing will be an added advantage
  4. Presentable

Atakuwa anafanya kazi zifuatazo:-

  1. All type of Secretarial Services (Typing, editing)
  2. Photocopying,Binding, Printing works & Scanning
  3. Internet Services
  4. Selling of stationeries
  5. Selling soft drinks

Kwa anayeishi kijenge atapewa kipaumbele zaidi
Kama una sifa hizo hapo juu au kwa yeyote anayemfahamu BINTI mwenye uzoefu wa kazi, anitumie email kwa kutumia address (email hii hapa chini).

esandet@gmail.com

ASANTENI
 
Muongo mkubwa wewe unatafuta demu

Kaka nina mdogo wangu wa kike amemaliza collage last year na amesomea hizo issue ila nipo nae Mwanza kama vp nimsafirishe aje huko?
 
Hapana, nahitaji mwenyeji wa hapa Arusha..
 
Kama dau lako kubwa nenda pale ROBBOT (Jengo la New Safari Hotel) unamwibe mfanyakazi....wale tayari wanafahamu wanachopaswa kufanya
 
Back
Top Bottom