Tayoa

Kweli hata mimi nna imani nao sana hawa watu. Huwa napenda napoona matangazo ya kazi yamescaniwa. Keep it up
 
IT wa TAYOA,imepotea tena TAYOA EMPLOYMENT PORTAL,FANYENI MAKEKE.....INAMSAADA MKUBWA SANA WADAU:behindsofa:
 
jamai kuna baadhi ya kazi hazifungui kabisa nimejaribu kujiregister inakataa jamani cz wanahitaji username na password help please
 
Kazi yangu ya sasa nimepata kupitia Tayoa, kazi kabla ya hii nilipata kupitia Zoom. Tatizo watu wakiona kazi za kwenye mtandao hawaamini kama wanaweza kupata. ila ukituma soft copy tuma na kwa njia ya posta kwani wengi wanashindwa ku-manage inbox zao na chance ya kupoteza email application yako ni kubwa. Asanten TAYOA na ZOOM Tanzania
 
Back
Top Bottom