kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
Dar es Salaam, Sekreterieti ya ajira imewaeleza wadau wanaotafuta ajira katika utumishi wa umma wanapoona matangazo yahusuyo ajira za serikalini kupitia vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya jamii wajiridhishe kwa kuwasiliana na sekretarieti husika.
Katibu wa skretalieti hiyo, Xaviar Daud alisema sekretarieti haitausika kwa taarifa za mchakato wa ajira katika utumishi wa umma yanayotolewa kwa njia ya udanganyifu
Chanzo: Mwananchi
Katibu wa skretalieti hiyo, Xaviar Daud alisema sekretarieti haitausika kwa taarifa za mchakato wa ajira katika utumishi wa umma yanayotolewa kwa njia ya udanganyifu
Chanzo: Mwananchi