Natafuta kazi!

Natafuta kazi!

MAANAX

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
36
Reaction score
2
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20 nimemaliza kidato cha nne mwaka jana ila sikuweza kuchaguliwa kuendelea, ninajua kuongea kingereza vizuri pia nina uwezo mkubwa katika hesabu na pia niko na uwezo mkubwa katika computer. Natafuta kazi ya kuuza dukani liwe la jumla au rejareja. MAWASILIANO YANGU 0756525889.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom