Ajira_nelson mandela institut_arusha

Ajira_nelson mandela institut_arusha

Mkuu hiyo tushaiona kwenye website ya chuo na gazeti la mwananchi la jana, tunashukuru ata hivyo

Hii tabia ni mbaya sana na itadiscourage watu kuwapa taarifa wengine, kama wewe umeshaona pita zako kuna wengine wengi wnahitaji hiyo taarifa.Sijaipenda hata kidogo,hacheni hizo
"Anayemdharau mwenzake hana akili kabisa"
 
Mkuu hiyo tushaiona kwenye website ya chuo na gazeti la mwananchi la jana, tunashukuru ata hivyo
sio wote wanauwezo kama wako wakununua gazeti!ukitumia lugha tata kama hizo mtu anaweza kwazika kutuwekea matangazo humu ndani,Maana yeye hapati faida yoyote akiweka thread hapa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom