mchakamchaka2
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 115
- 54
wanajamvi naomba ushauri wa kisheria, nataka kuacha kazi
we mjinga kweli wenzako wanatafta kazi we unaacha kazi gani unafanya? Me nimemalza chuo ila hata barabara naweza fagia mechoka kukaa hm