LENJENTZ
Member
- May 21, 2013
- 69
- 10
Salama wakuu,LENJEN Inapenda kuwatangazia kuwa tunahitaji Mageologist wawili na Mawelder wawili haraka iwezekanavyoTafadhali Kama wewe una vigezo kwa maana ya elimu Tuma cv haraka, uzoefu sio jambo tunalozingatia sana Kwani tunaamini kila Kazi lazima ujifunze mazingira na utendaji mpyaTuma CV na contact zako au za Mtu unayemjua anaweza kazi hizo kwa hakika atapata kazi na kuanza mapema wiki hii.Tuma Kwenye email yetu ya info@lenjentz.comAhsanteni sana5TUNASHUKURU