Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
Habari wanajamvi mm nipo mwanza nilisoma pcm na ninapenda sana hesabu kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa tatu ninapenda jitolea kurudisha mapenzi yangu katika wanafunzi kwa kujitolea kuwafundisha hesabu o-level mpaka A- level bure kabisa ila cha msingi ni waweze kucover gharama ya nauli zangu kuwafata ,
Napatikana mwanza kwa shule yeyote ama institution yeyote watakao kua na nina hata wanafunzi irimradi wawe na nia ya dhat ni PM,
Hata mikoa ya kanda ya ziwa nipo tayari..
Ipende hesabu ikupende
Napatikana mwanza kwa shule yeyote ama institution yeyote watakao kua na nina hata wanafunzi irimradi wawe na nia ya dhat ni PM,
Hata mikoa ya kanda ya ziwa nipo tayari..
Ipende hesabu ikupende