Tcc internship

Tcc internship

Flores

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
39
Reaction score
3
Samahan jaman hv kwa wale waliofanya interview TCC tar 22 na 23 kuna walioitwa? na wale waliofanya mwezi wa saba vip kuna walioitwa fo further interview?
 
Sijajua kaka, hata mimi nilifanya, but bado sijaitwa, walisema watapiga simu kati ya wiki mbili, mpaka tatu.
 
Sijajua kaka, hata mimi nilifanya, but bado sijaitwa, walisema watapiga simu kati ya wiki mbili, mpaka tatu.

hiv wale waliofanya mara ya kwanza nao bado au tayari mana me nakumbuka mwezi wa saba pia kuna watu walifanya interview na TCC
 
Back
Top Bottom