Mwendamsakafu
Member
- Aug 28, 2013
- 38
- 4
Wana JF naombeni masaada wenu, nimehitimu chuo kikuu udsm, Bsc.ed masomo ya science na GPA 3.0, kiukwel hd muda huu sjapata hadi sehemu ya kujishikiza, kama barua nimeandika nying mno lakin hakuna majibu yoyote, ambapo hadi shule za kata nimeenda kama kujitolea lakn naambiwa et shule haina hela labda uje jan. mwakani. kwa m2 mwenye mapenzi mema hata kama ushauri mm naupokea, napia computer skills ninayo, pia hata kama kazi ya volunteering katka NGO's mm nipotayari kuja kufanya kazi hiyo kwa sasa nipo dar. contact 0682883703.