Ajira mpya jeshi la polisi

bei gani wanaanza na mshahara napend kujua

mpaka hapo umeshapoteza sifa. Hii ni kazi ya wito na kama hauna wito unaweza kuleta madhara makubwa sana kwa jamii na taifa kiujumla.. kama salary ndio kigezo basi kuna uwezekano mkubwa sana wa wewe kushirikiana na wahalifu ili kujipatipatia fedha zaidi. Jeshi likiundwa na wenye wito malalamiko yatapungua sana
 
wew wito l
hata mshahara laki
 
"Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)
Mchango wako kwenye mshahara ni mzuri ila huo ujumbe wa vidole viwili fikiria zaidi usijikite kwenye manati kwanza vijana wengi siku hizi hawana habari nayo ndo maana wanaimba peoples power kila kukicha tafuta maana ya vidole viwili viwili iliyokaa ki .com zaidi
 
ACAHENI MBWEMBWE TOENI SASA TARATIBU ZA UPATIKANAJI WA FOMU. i mean web or blog or wapi sasa mbona siwaelewi nyinyi
 
Mbisere ebu tupe data tuwapeleke kaka zetu

jaman ukjiskia wito we nenda m2 askukatshen tamaa coz hatufanan,na kuhusu Jwtz nafasi kwa form four wenye ujuz ni mwz wa huu na saba bt undergraduates ni mwz wa 7 au 8 after bunge la bajet,stay tuned,Bofyeni hapa rafik zangu: www.policeforce.go.tz
 
Mi nilipita kweny web ya polisi jana,kuna kitu sijakielewa!usahl teyari umeshafanywa au bado alafu wataopita usahl wanasepata lin?
 
police.go.tz then unaenda kwenye Category imeandkwa career...unabofya pale then unabofya tene sumwhere wameandika police Graduate sel form then unadownload form unaijaza then unaituma manually makao makuu via posta.
Angalizo: wameandka kwenye hizo form kwamba hizo ajira ni kwa ajili ya graduates wa mwaka huu tu 2011/12 (ambao wengi kama co wote bado wako vyuoni wanaanza paper za mwisho UE)

  • :sad:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom