mnao tatufa kazi.

mnao tatufa kazi.

rolla

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
2,274
Reaction score
1,214
Jamani mnaotafuta kazi, jifunze namna ya kuandaa nyaraka zaNU na fikiria mara mbili mbili kabla ujakabiDHI nyaraka zako. Ofsi yetu inashughulika na "private investigation" kulingana na mahitaji ya mteja. Graduate kaja kuomba kazi barua yake bora ata mwanafunzi wa form 2. kibaya zaidi kaweka nakala za vyeti vya manafunzi bora katika usafi, ukwata, na barua ya mwenyekiti wa mtaa wa kijijin kwao, bora hata angekuwa mwenyekiti wa hapa mjin "dar" . na utumbo mwingine mwingi. kibaya zaidi kavaa rundo la vikorombwenzo mikononi na shingoni=vijana wenzangu mnaita "culture". KWA MTINDO HUU MTAISHIA KULALAMIKA NA WAGENI KUCHUKUA AJIRA ZENU.
 
Na wewe kajifunze kwanza kuandika, tena urudi darasa la I.

Acha kashfa kijana rolla
 
Last edited by a moderator:
Du huyo haitaji kazi hahahahaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni kweli kaka, mara nyingi huwa tunajisahau sana kwenye barua za kuombea kazi, inawezekana pia ni sababu ya kutokujua mkuu.
 
iyo kampuni yenu inamuhitaji uyo kijana hasa ukizingatia uandishi wako ulivyo.
 
Tusijenge mazoea ya kuajiriwa vijana wenzangu wa Kitanzania.Tuwaze kwa upana zaidi kuhusu ajira binafsi.Vyanzo vya ajira binafsi ni pamoja na ardhi.Tupambane na maadui wanaotoa ardhi kiholela huku wakisisitiza Vijana hawana ajira.
 
nisamehe bure kiongozi,time was not on my side, to allow me to edit and proofread my post. Thanks anyway, I hope ujumbe uliupata.
 
mkuu rolla kampuni yenu inahusika na private investigation kivipi? Maelezo kidogo mkuu.

Nikirudi kwenye topic, kwa sisi tunaotafuta kazi, tuwe makini sana na muonekano pindi tunapopeleka nyara zetu ofisi flani, na pia tuziangalie mara mbilimbili hizo documents kabla hatuja submit. Kama hujiamini na lugha yako, mpe somebkdy else aipitie aweze kukagua mkosa madogo madog.
 
itakuwa ofisi ya JORAM KIANGO
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa anazingua hakuna graduate anaye weza kufnya kitu kama hicho katika sayari hii we mwenyewe hujui kuandika labda hyo ofisi yenu inaajiri seven leaver ndo maana mlipopata graduate mkashindwa kuzielewa barua zake chezea elimu ya chuo ww
 
umeona eeh? Hata wa certificate tu hawez kufanya hayo.
 
mkuu rolla kampuni yenu inahusika na private investigation kivipi? Maelezo kidogo mkuu.

Nikirudi kwenye topic, kwa sisi tunaotafuta kazi, tuwe makini sana na muonekano pindi tunapopeleka nyara zetu ofisi flani, na pia tuziangalie mara mbilimbili hizo documents kabla hatuja submit. Kama hujiamini na lugha yako, mpe somebkdy else aipitie aweze kukagua mkosa madogo madog.
Jamani dunia imebadilika na uenda mambo mendine ni mageni. We are A PRIVATE LICENCED INVESTIGATORS and we do the following among others; Background checks, individual history authentication, preliminary vets, professional opinion on levels of security passes to handle certain company or organization documents, in short we can provide to you any information you need. We have contacts in almost every office in the govt and many private set up, and we do record tracting. NAMEKWAMBIA JUU JUU MAANA, OUR POLICY IS, INFORMATION MUST BE PROVIDED ON THE NEED TO KNOW BASIS.
 
Jamani mnaotafuta kazi, jifunze namna ya kuandaa nyaraka zaNU na fikiria mara mbili mbili kabla ujakabiDHI nyaraka zako. Ofsi yetu inashughulika na "private investigation" kulingana na mahitaji ya mteja. Graduate kaja kuomba kazi barua yake bora ata mwanafunzi wa form 2. kibaya zaidi kaweka nakala za vyeti vya manafunzi bora katika usafi, ukwata, na barua ya mwenyekiti wa mtaa wa kijijin kwao, bora hata angekuwa mwenyekiti wa hapa mjin "dar" . na utumbo mwingine mwingi. kibaya zaidi kavaa rundo la vikorombwenzo mikononi na shingoni=vijana wenzangu mnaita "culture". KWA MTINDO HUU MTAISHIA KULALAMIKA NA WAGENI KUCHUKUA AJIRA ZENU.
ingekuwa bora zaidi kama ungemshauri huyo kijana badala ya kukimbilia jamii forum kuanzisha thread na kulalamika ni bora yule anayekwambia ukweli kuliko yule anayekusema pembeni
 
Ujui chochote mbulula wewe!! Et kampuni yako! Kwanza unapangisha yahaya wewe.
 
Back
Top Bottom