F.c.mwanzi
Member
- Apr 1, 2013
- 65
- 17
wadau habari zenu,kwa walio wahi kufanya kazi na hawa jamaa kama ''field marketing Agents'' naomba mnijuze juu ya mazingira ya hii kazi kuanzia kupata watu na mengineyo . shukurani
Kumbe haukuendaga tena?choo cha kike walioanza nao wote wamemwagika nilishafanya nao training nikawatosa baada ya kutajiwa package yao na mazigira ya kazi
watakuambia kupita kwenye mahotel makubwa ,maofisi , mikutano ww unachofanya ni kuwajazisha fomu ulizopewa.yaani ni kazi sana bora hata sales!!nzoya hao matajiri unawatafuteje kwenye shopping malls? Naomba ufafanuzi kidogo kama huta mind.