Ninaomba ushauri

Ninaomba ushauri

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,742
Reaction score
1,743
Nina laki moja nifanye kazi gani itakayonilipa hapa mjini DAR ES SALAAM
 
Anzisha genge la mboga mboga !na v2 Kama nyanya,v2nguu,pilipili,hoho,karanga ,nazi na mchangnyiko matunda ya aina tofauti tofaut!.
Utauza sana,badaye weka mkaa wa kupanga!
 
nyanya, vitunguu, matunda kiasi, mbogamboga za majani, miwa kiasiila baadae mkaa
 
Mbona kama haitoshi? anyway rafiki jaribu mtaji mayai na karanga
Thanks
 
Mkuu fuata ushauri wa kuuza genge, tafuta meza au share na mtu!
 
Unaweza tembeza kahawa na kashata.

Utahitaji birika, Sukari, sinia na

Viatu comfortable na vitakavyodumu mi nakushauri utafute raba za adidas trainers original to help you cover the distance.

Faida kwa siku ni 3500 mpaka 4000 so utarudisha hela yako yooote na faida juu ndani ya mwezi tu basi.
 
Back
Top Bottom