Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Inasemekana kwamba kutokana na wafanyakazi kadhaa kutarajia kwenda kusoma hivi karibu, wote waliofuzu usaili uliopita huenda wakaitwa muda si mrefu. Mwenye kujua zaidi au mzoefu wa ajira za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji mtu mwenye uwezo wa kunitengenezea website nzuri kwa ajili ya matangazo ya biashara na management nyinginezo.......kwa mwenye uwezo link hii apa:hestonejr@yahoo.com. Tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Wadau kwa yeyote aliyepata a job offer letter zilizo anza kutolewa tar 31 mwez wa 8. Vip m,meshatumiwa barua ya kwenda training, kwa anaejua msaada please!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mwalimu hapa grade A anatafuta kazi private primary schools alipangiwa peripheral sana anatafuta kazi mawasiliano
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Naomba kujua kama wahitimu wa MVITC pale moro wanaajiriwa na serikali direct?
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Are you in quest of part time jobs with limited hours? If yes, there are many kinds of part time jobs available in the market for those people who intend to work from home without missing home...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Jamani mwenye taarifa au majibu ya interview tuliyofanya TPB ya Sales officer , please anijuze
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari naitwa abella nina diploma ya secretary and office management, natafuta kazi mwanza, geita au shinyanga, naweza kufanya hata yoyote kwani nina akili ya kuelewa haraka. 0768361487
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Principal of a College Dar es Salaam Institute of Business Management Position Description: Qualification -Must have master degree in Arts or Science Experiences -Teaching experience of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BMTL vacancy - Sales executive - Sales representative - Assistant - Sales accountant
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Hawa wapo sana Arusha town, kampuni ipoje na salary zao kwa wafanyakazi like engineers-just range zao coz salary nu mapatano, mabosi (manake wahindi wanazingua sana smtms), ukiacha mabomba...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu wana jamii forums naombeni kama kuna member yeyote anayeweza kunijuza mawasiliano ya waziri wa wa Wizara ya kazi. Natanguliza shukrani zangu za dhati!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu joining the army is serious business i hope you know that part of the application is the signing of your death bond, you can die in training or loose some vital part. UANDIKISHWAJI Askari...
0 Reactions
23 Replies
39K Views
Wadau wa jf Nimeamua hili suala nililete hapa ili kama unahitaji au jamaa yako,ndugu yako au rafiki anaweza basi tusaidiane,Nahitaji kijana ambaye kidogo ana uzoefu na jinsi ya kununua bidhaa za...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu...kuna yeyote amefanya application na kujibiwa na SNV kwa hiyo post. If any please...#Siku Njema Kwenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Subject: New Job Openings ITC would appreciate your contribution to circulating job openings and displaying them on your employment boards. Reference number: ITC/VN/12/2013 Post title...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wanajf katika pitapita zangu za kutafuta kazi...kuna mwadada alinipeleka pale kusikiliza semina ili kuhusu wao,kazi zao na jinsi wanavyo ajiri.....nilipokuwa pale niliona vijana...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Creative Associates International (Creative) is an international NGO currently undertaking a large education project, 21st Century Basic Education Program, funded by the United States Agency for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wanaotafuta kazi: Kazi: Electrical Technician (Diploma Holder or above) Company: Geita Power Ltd (Operating and Maintaining 40MW Diesel Power station at Geita Gold Mine) Send your...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom