mtaji huu

mtaji huu

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,742
Reaction score
1,743
wadau naish DAR nina mtaji wa laki moja hv naweza kufanya kazi gani! Nipate hela ya kula na kuishi nikiwa nasubiria ajira mwez wa pili*
 
wadau naish DAR nina mtaji wa laki moja hv naweza kufanya kazi gani! Nipate hela ya kula na kuishi nikiwa nasubiria ajira mwez wa pili*

Umachinga unalipa uza chochote
 
Dah... ! jaribu kwenda sokoni buguruni fanya biashara ya matunda au mbogamboga kwa mtaji huo unaweza uka survive..
 
Back
Top Bottom