Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Jamani najiuliza hawa majambazi hawa vipi ni majambazi au maana mara Dr.Ulimboka , ghafla mara Pro.Joan Mwaikyusa, hata yule RPC wa mwanza sijui nao ni majambazi, hee mara imekua ya Dr.Mvungi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
World Vision Tanzania is Hiring an Inspiring Human Resource Manager,Why not YOU? Visit us at http://http://wvi.org/tanzania/careers
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DEREVA DARAJA LA 1-Nafasi 1 Company: SHIRIKA LA UKAGUZI NA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA(COASCO) Description: Shirika la ukaguzi na Usimamzi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) lilianzishwa na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wale waliofanya interview nafasi ya internal auditor ii wameshaitwa kwa interview ya pili? Mmeshapigiwa simu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada plse! Wakuu kuna m2 yeyote ambae amepata taarifa kuhusu interview bugando kwan niliomba nafasi ya hospital secretary II kaz since october 2013.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana JF Nimemeliza Chuo kikuu SUA mwaka jana katka fani ya habari na sayansi ya Maktaba (Information and Library Science) na kupata GPA ya 4.2. Nina uzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
samahani wanaJF naomba kuuliza character certificate from police ni kitu gani na ina makusudio au malengo gani hata kiwe kiambatanisho kwenye job applications?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
habari wadau,naomba mnisaidie naitaji lesen ya udereva daraja la c utaratibu upoje mwenye kujua anisaidie pakuanzia? naitaji lesen ili niombe kazi ya udereva serikalini ni hayo tu.
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Wajameni mwenye information kuhusu ajira za magereza atujuze,maana tumesubiri sana,nilisikia mwez 8 mara wa 10,sasa sielewi tatizo,naombeni msaada mwenye kujua chochote kuhusiana na hili.
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Samahani Kwa usumbufu, Mimi ni Kijana Mwenye Kujituma kwa bidii yaani mchapa kazi sina Maringo na niko tayari kwa kufanya kazi yeyote ile ambayo itasaidia katika ujenzi wa taifa pamoja na maisha...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Karibu jfasta.com –A ultimate fast Information portal in East Africa. Mtandao unaokupa taarifa za uhakika juu ya Nafasi mbalimbali za kazi, Tenda, n.k, Kila siku tunahakikisha unapata kazi mpaya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jisajili na jfasta.com, Kujisajili bofya link hii: Jfasta.com | Ultimate fast information portal in East Africa| Get updated Job Opportunity & More Position: Human Resource Business Partner...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
naomba msaada wenu wadau nina degree ya ugavi(procurement and supply management)
0 Reactions
0 Replies
892 Views
watz wote tunahtaj mabadiliko kwa sababu hii sekretariate ya ajira wanapotezea watz muda na hela,hebu wabunge tusaidieni haiwezekan nafasi 1 mnashortlist watu 400,kweli kijana asafir kutoka mbeya...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Salaam wakuu. Yapata miezi miwili sasa tangu lilipofungwa dirisha la kuomba nafasi za kazi pale Chuo Cha Sayansi na Tiba Muhimbili. Naomba mwenye taarifa anijuze kama washaita watu kwenye usaili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jamii.. Kama kuna mtu yeyote ambaye alishawahi kufanya interview ya tutorial assistant utumishi kwenye masomo ya ICT, Maswali ya Oral and Written huwa yanakuaje, huwa wanauliza nini sanasana?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Ndugu wana Jf, ni kweli tumekuwa tukilalamika sana kuhusu tatizo la ajira hapa nchini, kwa hivyo basi tumekuwatukijitahidi sana kutafuta kazi, au taarifa juu ya wapi tunaweza kupata kazi kupitia...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Mwenye taarifa kama walishaita zile za mwezi wa saba 2013
0 Reactions
4 Replies
3K Views
* GUIDE to running a BUSINESS like a PROFESSIONAL* Hello, We hereby present to you our book manual (available in English & Swahili) named above, which is a well written guide to running a business...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Back
Top Bottom