watz wote tunahtaj mabadiliko kwa sababu hii sekretariate ya ajira wanapotezea watz muda na hela,hebu wabunge tusaidieni haiwezekan nafasi 1 mnashortlist watu 400,kweli kijana asafir kutoka mbeya mpaka dar kwa hali hyo,pili mitihan yenu utadhan watu wametoka chuo jana,kwa nini msitengeneze practical question ambazo zipo makazini kama ni kupima watu,cha ajabu kingne mnasahihsha na mashine au mkono haiwezekan watu 200 au 400 mtihan umefanyka asbh jion majibu yapo internet!wasi wasi wangu lazima kutakuwa na hujuma au kuna mambo ambayo yanafanyika! Kwa kweli interview za namna hii bora niendelee kuwa wakala wa mpesa au tgo pesa!kaz ipo naamin RAIS AJAYE ATAFUTA MFUMO HUU