Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau naomba juzwa mh imekuwa muda sana tangu 2fanye oral interview hakuna habari yeyote juu ya lini au nani kaitwa anza kazi,plz mwenye updates plz weka jamvini
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana JF. Kuna mtu yeyote mwenye taarifa lini hawa watu watatoa shortlist?
0 Reactions
16 Replies
13K Views
Kampunu yetu ya CAREPOINT inajishughulisha na hivi: 1. Ukodishaji wa viti na meza vya plastic 2.ukodishaji wa jumping castle kwa ajili ya watoto kuchezea wakati wa sherehe mbalimbali 3...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO KARIAKOO MARKET CORPORATION Applications are invited from suitably qualified Tanzanian Citizens to fill the following vacancies currently existing in the...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kila la heri vijana huko CCP pia pongezi kwa wale waliosoma BALE B.A. LAW ENFORCEMENT UDSM kwani hakuna hata moja aliyeachwa. nenda tembelea www.tpf.go.tz:yo::yo:
0 Reactions
6 Replies
8K Views
:A S tongue:kwa nini hawatuambii kuwa ambao hawajaqualify hawa hapa via email adress
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau poleni na majukumu,mimi ni kijana nimemaliza bachelor of Computer Network Eng. Nipo mtaani hivi sasa natafuta kazi naombeni mwenye msaada anisaidie kwani hali ya kifamilia ni mbaya nina...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
habarini za asubuhi. jamani napenda kuuliza km kuna mwenye taarifa za nmb kuita kwenye interview kwa nafas walizotangaza tangu mwez wa kumi kanda ya kaskazini..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania ya miaka ya 70 hatunayo tena.Ambapo kazi zilikuwa zinatafuta watu.lakini leo hii unaitafuta kazi na sio lazima uipate,mwisho wa siku tunaacha ujuzi uliogharamiwa ukipotea bila tija...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hi wanajamvi, hope mpo pouwaaaa. pls kwa aliyeweza kudownload matokeo ya mtihani wa mchujo CBE na DIT uliofanyika mwl nyerere jana naomba atupie hapa coz nimejaribu kudownload lakini wap...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kesho naenda kufanya interview ya "Academic officer II" kwa zile kazi ambazo zinatangazwa na PSRS. Kama kuna mdau ambaye ameshawahi kuhudhuria usaili kwa nafasi ya ACADEMIC OFFICER II...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunafanya mitihani! Wkt flan unashukuru kwa kile ulichopitia ndo kimetoka, kwa maana nyingine mtihani umeupiga.. Cha ajabu maksi ishirini, kumi. Nani aamini usahishaji wao, hata mitihani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg zangu mwenye taarifa kuhusiana na kujiunga na jkt kusikokuwa kwa mujibu wa sheria
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Vijana wenzangu,mi ni mwenzenu nina diploma yangu ya laboratory technology ambapo nina skills za kufanya kazi kwenye maabara yoyote ile iwe viwandani kama quality assuarance pia mashuleni na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anatakiwa Water Technician Enginer (FTC) Awasiliane kwenye no: 0784036078036
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada mimi ni Mtanzania mwenzenu lakini nimeamua kujitoa kimasomaso kwani naamini uzoefu wangu wa kazi na Elimu yangu vinaniwezesha sasa kujitosa kwenye ulimwengu wa kazi at...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Usibishe ajira za maana siku hizi ni za wachache wanaojuana. Sisi wengine tujiajiri tu. :dance:CHATGUEST FORUMS is your best source for knowledge.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CUSTOMER CARE ASSISTANT AND PHOTOGRAPHER NEEDED A New photo studio to be populary known as CarePoint PhotoPlus Studio is opening soon in Makumbusho Area near Simbakapakatwa building. key services...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salam wakuu,nimetumiwa ujumbe wa simu wa maandishi (sms) kutoka kwa rafiki yangu usemao: Kama kuna mtu unaemfahamu aliemaliza form six kuanzia 2003 mpaka sasa masomo ya sayansi na kupata (SSS)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Photoplus studio inafunguliwa mwezi huu maeneo ya simbakapakatwa, Makumbusho jijini Dar. We are are recruiting a young energetic female candidate to take up the role as a “Studio customer Care...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom