Mimi ni mhitimu wa mafunzo ya kilimo Diploma naliambiwa serikali itatoa ajira toka 2012 mpaka sasa hatujui ni lini sepikali itatoa ajira izo pia hata wenzetu wa mwaka huu nao wamemaliza na hawajui...
Kuna watu wameibuka wakidai ni waajiri wanapigia watu simu wakiwa kwenye sauti za kuigiza, barua za kuita watu kazini na mikataba ya kazi, kwa mujibu wa vyombo vya habari jana wameibiwa watu wengi...
Karibu jfasta.com, Kama hujajisajili tunakuomba ujisajili. Kujisajili bonfya link hii: Jfasta.com | Ultimate fast information portal in East Africa| Get updated Job Opportunity & More
Position...
Mambo vp wadau wng?Natokea kutafuta kazi na promota wa project zangu za music,pia naweza fanya uDJ wa club mix kwa kutumia program ya computer(VIRTUAL DJ,Auto mix).Mwenye kuvutiwa na hii,anichek...
GUIDE to running a BUSINESS like a PROFESSIONAL (MWONGOZO wa kuendesha BIASHARA kama MTAALAMU)RUNNING YOUR BUSINESS LIKE A PROFESSIONAL (The Eight Steps) is a new addition to the book manuals from...
Hello,
We hereby present to you our book manual (available in English & Swahili) named above, which is a well written guide to running a business like a professional. It is a combined effort of...
Ndugu zangu, nimejaribu kukaa na hili moyoni lakini sasa nashindwa kuvumilia. Mimi ni mhitimu wa shshada ya takwimu ya chuo kikuu. Niliapply polisi nikiwa chuoni, baada ya jeshi la polisi kuomba...
Habari zenu wapendwa,mm ni msichana wa miaka 20. Natafuta kazi yoyote Mwanza sichagui wala sibagui, elimu yagu ni kidato cha nne pamoja na corse ya ualimu wa chekechea, naombeni msaada wenu...
Trans mathius network ni kampun inayohusika na usafirishaji wa mizigo ndan na nje ya Tanzania katika nchi kama Kenya,Uganda,Malawi,Congo kinshasa,Congo brazaville,Rwanda na Burundi.Usafiri wetu ni...
salam wana jf...!
ningependa kujulishwa kwa yeyote aliyefanya interview utumishi ya oral kwenye post yoyote inakuaje? kuanzia panel na maswali, je ni general administration questions au ni...
Wadau naaomba mjihadharii na huyu Tapeli anajiita Peter kutoka CAPITAL REFINERY( if ni kweli kuna kampuni inaitwa hili jina); ansumbua watu yuko kwenye interview panel anataka atumiwe hela ili...
Tunasambaza sabuni za maji kwa ajili ya kufanyia usafi kama:
~kuoshea vyombo
~kufulia
~kudekia
pia tunauza afro shampoo kwa wenye saloon za kike na kiume na kwa mtu mmojammoja pia,
weka oda...
habari zenu wanajamvi. naombeni msaada wenu, nina mdogo wangu kamaliza cozi ya secretary bado hajapata ajira, mwenye kazi hata ya stationary jamani, hata kama rafiki yako anayo, nisaidien...
Habari za jion ndugu zangu wapendwa. Poleni na majukumu ya kutwa nzima.
Napenda kuwakaribisha wale wote wenye shauku ya kumiliki magari yao kuwa sasa unaweza kupata gari/magari toka Japan kwa bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.