Nafasi ya Kazi <<Nipo Dodoma>>

Nafasi ya Kazi <<Nipo Dodoma>>

Emma Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
929
Reaction score
149
Samahani Kwa usumbufu,
Mimi ni Kijana Mwenye Kujituma kwa bidii yaani mchapa kazi sina Maringo na niko tayari
kwa kufanya kazi yeyote ile ambayo itasaidia katika ujenzi wa taifa pamoja na maisha yangu
Kiujumla. Baada ya kumaliza chuo Bsc Economics/finance/ na Kuhangaika na pilikapilika nyingi
za kutafuta kazi mjini daslam Nimeamua kuja Dodoma napo kujaribu kutafuta Ajira au shughuli
M'badala za kufanya.

Hivyo basi,
Ndugu yangu, kaka, Dada Baba Mama kama kuna Aina yoyote ile ambayo unaweza nisaidia either
Moja kwa moja au Kunikutanisha na wadau wa Mji huu ili niweze kupata angalau pa kuanzia Ningeshukuru
Sana.

Source: Imma.
 
kaka hebu jaribu FINCA walitangazanafasi:- Jobs | Finca Tanzania au tembeleaga hapa https://www.facebook.com/groups/279428752075505/ kwa nafasi mbalimbali za kazi
 
Samahani Kwa usumbufu,
Mimi ni Kijana Mwenye Kujituma kwa bidii yaani mchapa kazi sina Maringo na niko tayari
kwa kufanya kazi yeyote ile ambayo itasaidia katika ujenzi wa taifa pamoja na maisha yangu
Kiujumla. Baada ya kumaliza chuo Bsc Economics/finance/ na Kuhangaika na pilikapilika nyingi
za kutafuta kazi mjini daslam Nimeamua kuja Dodoma napo kujaribu kutafuta Ajira au shughuli
M'badala za kufanya.

Hivyo basi,
Ndugu yangu, kaka, Dada Baba Mama kama kuna Aina yoyote ile ambayo unaweza nisaidia either
Moja kwa moja au Kunikutanisha na wadau wa Mji huu ili niweze kupata angalau pa kuanzia Ningeshukuru
Sana.

Source: Imma.

Karibu sana kaka!, mm ni graduate wa agricultural economics and agribusiness. npo hapa sabasaba dom nafanya agribusiness ya computer na kumuimbia Bwana kanisani kikuyu karibu nawe tuimbe pamoja maana hata mm nyumbani ni mbeya ila npo hapa nikiamini one day yes. Mambo yanachelewa tu, ila yapo! we amini utatoka. Warmly u are welcome my dear!
 
Back
Top Bottom