SIMEON KATATANAMA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 479
- 277
Salaam wakuu. Yapata miezi miwili sasa tangu lilipofungwa dirisha la kuomba nafasi za kazi pale Chuo Cha Sayansi na Tiba Muhimbili. Naomba mwenye taarifa anijuze kama washaita watu kwenye usaili.
Natanguliza Shukrani.
Natanguliza Shukrani.