Kazi: tafuta wateja upate commission

Kazi: tafuta wateja upate commission

elnathan

Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
52
Reaction score
12
Kampunu yetu ya CAREPOINT inajishughulisha na hivi:

1. Ukodishaji wa viti na meza vya plastic
2.ukodishaji wa jumping castle kwa ajili ya watoto kuchezea wakati wa sherehe mbalimbali
3. PhotoPlus Studio inayohusika na upigaji picha za studio na kwenye sherehe _ Ipo makumbusho Dar.

Ndugu unayetafuta kazi, jipatie kipato kwa njia ya commission unapoleta mteja. Mfano mtu akikodisha jumping castle kwa siku moja kwa 120,000/= unapata 15,000-20,000 kutegemeana na umbali toka Tegeta. Au ukileta mteja anayehitaji huduma ya photography unapata 10% -mfano mteja wa 200,000/= unapta 20,000/=

Changamkia fursa twenzetu tuache kulalamika hakuna ajira. Email nat867@gmail.com
 
Nashukuru wote walionyesha nia. Hopefully we move to next stage. Wengine mwakaribishwa
 
Back
Top Bottom