Kai kazi kazi!!!

Kai kazi kazi!!!

newbie

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
216
Reaction score
48
Wadau poleni na majukumu,mimi ni kijana nimemaliza bachelor of Computer Network Eng. Nipo mtaani hivi sasa natafuta kazi naombeni mwenye msaada anisaidie kwani hali ya kifamilia ni mbaya nina mzazi mmoja ananitegemea,naweza kufanya kazi popote hata nje ya nchi(nina valid passport).
Naweza kufanya kazi yoyote inayohitaji mtu mwenye first degree

newbietz@yahoo.com
 
all the best,i hope watakusaidia ila pia usilale endelea kuhangaika maofisini.
 
Jamani wenye michongo asaidiwe huyu ndugu yetu.
 
Ungeweka namba ya simu au email ili wapitaji humu ambao hawajajisajili pia wanaweza kuwa msaada kwasababu hawawezi tuma pm au ku repply.
 
Hali ni mbaya mtaani,hata hela ya kula inakosekana. Tusaidiane ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom