Msaada jamani!!!

Msaada jamani!!!

stunna

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2013
Posts
261
Reaction score
152
Vijana wenzangu,mi ni mwenzenu nina diploma yangu ya laboratory technology ambapo nina skills za kufanya kazi kwenye maabara yoyote ile iwe viwandani kama quality assuarance pia mashuleni na kwenye instutions kama lab technician na hospital pia. Kwayoyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi au kuniunganishia kwenye idara hzo anisaidie jaman. namba yangu ni 0683310219
 
Tembelea www.ajirakwanza.com zipo ajira nyingi tu za hiyo fani.

All the best.
 
Back
Top Bottom