Natafuta Kazi nje ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Kazi nje ya Tanzania

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mhafidhina, Mar 15, 2009.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani naombeni msaada mimi ni Mtanzania mwenzenu lakini nimeamua kujitoa kimasomaso kwani naamini uzoefu wangu wa kazi na Elimu yangu vinaniwezesha sasa kujitosa kwenye ulimwengu wa kazi at International Level. But ningependa sana nifanye kazi nje ya Tanzania, kwa mfano Nchi za UAE, au nchi nyingine yoyote but not Tanzania.

  Hivi kuna mtu ana websites au link ya websites ambazo zinatangaza International jobs but special for africa au for UAE?

  naombeni msaada wenu wanajamii....!
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,404
  Likes Received: 81,431
  Trophy Points: 280
 3. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  That is very simple just Click your fingure here http://www.rigzone.com/jobs/ , there you go !!!! Lakini ukipata nijulishe namimi ehheeee
   
 4. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahaahahaa...dogo acha za kizamani..tulia hapa tujenge inji yetu...na pia nani kakuambia unauwezo wa kufanya kazi nje ya nchi wakati za hapa ndani hujazifanya zikaisha??....pili...kwanini umeshindwa ku-google hizo links za kazi kwa inchi uzitakazo then ukaomba kazi?...inaonyesha usivyokuwa na utayari wa kufanya kazi za kimataifa....lete hiyo akili yako na rasilimali nguvu itumike hapa tanzania ili uwe mmoja wa watu walioshiriki kwa karibu zaidi kuleta maendeleo ya inchi...TATIZO HALIKIMBIWI LINAKABILIWA NA KUTATULIWA...tulia home tatua matatizo ili watu wa huko nje nao watamani kuja kufanya kazi hapa kwetu....NATUMAI UMENIELEWA....soma vitabu vya ENZI ZA MWALIMU kuimarisha chembechembe zako za utaifa na utanzania zaidi.
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mhafidhina,
  Au ni njia ya kumkimbia yule anayekulazimisha umuoe??
   
 6. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Kwa kiwingereza ungesemaje; I am finding a job ?
   
 7. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,780
  Likes Received: 6,262
  Trophy Points: 280
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Habari ya utaifa inaingiaje? Dunia siku hizi wanasema ni kijiji, wewe unazungumzia khabari za taifa?
   
  Last edited by a moderator: Apr 9, 2009
 9. M

  Msindima JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  WOS niko na wewe nahisi anamkimbia yule dada wa watu.
   
 10. locust60

  locust60 Senior Member

  #10
  Apr 9, 2009
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Du!
  Mkuu twambie taaluma yako,lakini nikupe angalizo mcheza kwao hutunzwa.au hata kubeba box uko tayari?
   
 11. P

  Preacher JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2009
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  shambani kwa Bwana mna kazi nyingi - watenda kazi ni wachache - vacancy zipo kama uko tayari
   
 12. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,780
  Likes Received: 6,262
  Trophy Points: 280
  Mcheza kwao hutunzwa....lakini wanasema pia mkono mtupu haulambwi!
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ukipata usitutose mkuu nasi tunapenda kuishi nje ya nchi.
   
 14. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa ningekushauri kwanza fika kwenye nchi unayotaka kazi as in kuwa UAE then look for jobs. Na hii recession your application is likely goin to get scrapped! Makampuni ulaya na uarabuni saizi wana receive cv by the thousands, unless u bringing them business dont keep ur hopes high coz kuna watu wanaongea lugha nyingi zaidi yako na wana experience za sector mbalimbali na bado hawana kazi. THE MARKET IS TOUGH RIGHT NOW naomba nisionekane nasound negative but haya yamenikuta personally mara nyingi katika interviews with HR People huku ulaya.

  Keep in mind since you are a foreigner na hii recession makampuni mengi hayako tayari kuspend more money for immigration issue for u and mayb ur family if u have one, small training sessions for you which are all required of them by thelaw of the land. They want Experts (Skills that they can't find localy)

  Advice: Since you have no international work experience. Apply for placements and trainee ships first abroad untill this recession cools off, It will definately boost your chances. Kwa huku ulaya ndo technique inayo work out, train from within the company then apply for the post u want. Worked for me. :)
   
 15. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ili tuamini kwamba wewe ni Mtanzania mwenzetu, tuwekee hapa ukurasa wa passport yako unaoonyesha jina, uraia, tarehe na mahali ulipozaliwa.
   
 16. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,780
  Likes Received: 6,262
  Trophy Points: 280

  Mkuu,

  Usimkatishe tamaa Mtanzania mwenzetu. Yeye kasema anataka kufanya kazi nje ya nchi, whether kwenye kampuni au NGO.

  Wazo la kumwambia afike kwanza kwenye nchi anayotaka kufanya kazi, halijakaa sawa. Atafikaje huko? ni ngumu kuzukia tu nchi yoyote wakati huna uhakika utakula vipi, utakaa wapi na mambo kama hayo

  Ni kweli kwamba all employers (makampuni, NGOs etc) wanatafuta experts kufanya kazi kwenye nchi husika (skills ambazo nchini humo zimepungua au hazipo) na ndo maana webs kama www.reliefweb.com kuna kazi za kila aina kwa kila nchi.

  Kama amefanya nchini humu kwa muda mrefu, na elimu yake inatosha (minimum degree level) hiyo inaweza kuwa ni qualification tosha kumpatia kazi nje ya TZ. Umezungumzia Ulaya lakini kuna nchi kama Sudan, DR Congo, Chad etc ambapo kazi zipo nyingi na zinatangazwa kila siku. Mimi nipo nje ya bongo, nafanya huku kama expert, na sikuwa na international experience kabla sijapata hii.

  Ni kweli competition ipo juu sana tena sana kwa sasa lakini watanzania tusife moyo na kuogopa. Wakenya na Waganda ndo maana wapo kwa wingi sana kwa hizi kazi za kimataifa kwa kuwa si waoga na wanaamini uwezo wao
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Shiriki kwenye Diversity lottery ya Marekani maana wanawatia moyo Watz maana mgao wao upo na waombaji wanaoomba na kupata bado ni wachache.Jaribu bahati yako!
  Ila kama una sifa za kutosha na unajiamini Bongo is still the best!
   
 18. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  If u look carefully kaulizia kazi UAE au nimekosea? Na sipo hapa kumdiscourage mtu ndo maana nikamwonyesha hiyo route ya placements..Naomba usome nimeandika nini kabla huja criticise. je unajua hali ya kazi UAE saizi? Naongea from hali ya uchumi na ajira kwa sasa not the past. Hiyo ya wakenya waganda kupata kazi has nothing to do with this. Umetoa mfano wako je umetafuta kazi wakati huu wa recession?? Lets give honest opinions. Its hard to help a person who has not even stated what kind of job they are looking for or even what profession they are in!!
   
 19. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,780
  Likes Received: 6,262
  Trophy Points: 280
  Mkuu, sijacriticise hoja yako ila nilikuwa natoa option nyingine. Hoja yangu kuwa tofauti na yako usichukulie kwamba ninakucriticise.

  Najua kuna recession BUT at the same time kazi MPYA na NYINGI zinatangazwa kila siku. Ndo maana nikashauri apitie ule mtandao acheki kwani ninaona kazi mpya kila siku na za fani tofauti.

  Upo sahihi pia, kuna mapungufu kwenye ombi lake maana hajasema anatafuta kazi aina gani na profession yake ni ipi.

  Ni hayo tu
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Anataka kazi ya aina gani?
   
Loading...