Kuitwa kwenye usaili PCCB

Kuitwa kwenye usaili PCCB

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,665
Reaction score
5,109
Habari wana JF.
Kuna mtu yeyote mwenye taarifa lini hawa watu watatoa shortlist?
 
Maombi jumla ni 46,000. Yanachujwa wenye vigezo had kufikia 2000, mwezi March ni interview ya kwanza - written. then May oral, July depo! Upo?
 
hahahaha watu mtashikwa maskio sana we ngoja tu
 
mpaka serikali itoe bajeti ya kwenda depo so subiria sanaaaa ..shortlist itatoka september mwakani depo December mwakani na kazi ni August 2015...he he hehe
 
Badili kichwa cha Habari yako haraka
vinginevyo utawakwaza watu humu.
 
Maombi jumla ni 46,000. Yanachujwa wenye vigezo had kufikia 2000, mwezi March ni interview ya kwanza - written. then May oral, July depo! Upo?

aiseeeeh!!!!!

kwahiyo mkuu na wewe umepiga depo ya hayo makitu?
 
Ivi ni lazima mtu uchangie utumbo kwenye kitu usichokijua? Safi kwa wale walioandika kitu cha kweli ila kwa mliochangia utumbo naomba badilikeni
 
Na wale walioenda kununua vyeti vya darasa la saba wakati vilisitishwa kipindi fulani hawa wameonekana hawafai kwa hii kazi mana wametoa rushwa.wangetakiwa wawe na barua toka kwa afisa elimu tu chezea shughuli hii wewe.
vinginevyo nawatakia kila la kheri wale watakaoitwa kwa usaili .
 
Back
Top Bottom