Wasichana wa kazi!

Wasichana wa kazi!

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Jaman habarini za mwaka mpya.sijui ni mimi tu ninae pata shida au na wengine,hawa wasaidizi wa kazi hawapatikani kabisa,hivi nini kulikoni?nasikitika sana watoto wetu watalelewaje kwa staili hii,mimi nilikuwa na mmoja,tumevumiliana kwa mapungufu yetu kwa mwaka mzima na nusu,kaenda krismas hajarudi mpaka leo na hapatikani,.wamama wenzangu na wababa hebu nipeni njia mbadala za kupata mwingine,nimeshatafuta mpaka nadata,nitaacha kazi nilee au nitafanyaje mimi?
 
Kwa kawaida umri unabadilisha mawazo ya mtu, ukimpata msichana/mdada wa kazi zingatia
1: Motivation ili uzidi kumteka naye aifurahie kazi yake

2: zingatia maelewano/mkataba mloweka.

3: Pia kumbuka kurenew mkataba pale unapogundua msichana ameanza kupata mawazo ya kiutu uzima.
Mfano...kumuongezea mshahara ili aweze kumudu matarajio yake.
 
HUyo wa kwako keshaolewa ukiona hivyo. Hata hivyo na matokeo ya shule za kata...hata waliofeli mitihani darasa la saba wanapelekwa huko...housegirl utampata wapi. Jipange tu wewe na mumeo namna mtakavyolea au peleka day care centre.
 
asante kwa ushauri,hayo yote nilizingatia,nilimwongeza mshahara alipotimiza mwaka,achilia mbali incentives nyingine pia zinazoeleweka nilimpa,alipokuja alitoroka kwao kwakuwa alitolewa mahari na hakutaka kuolewa kwa nguvu,lakini sasa nahisi kakua kaenda kuolewa kwani nimempa mtaji kwa hela nilizokuwa namhifadhia benki
 
,hawa wasaidizi wa kazi hawapatikani kabisa,hivi nini kulikoni?nasikitika sana watoto wetu watalelewaje kwa staili hii,
i see,,kama hutaweza mlea mwanao mpeleke ustawi wa jamii
 
HUyo wa kwako keshaolewa ukiona hivyo. Hata hivyo na matokeo ya shule za kata...hata waliofeli mitihani darasa la saba wanapelekwa huko...housegirl utampata wapi. Jipange tu wewe na mumeo namna mtakavyolea au peleka day care centre.

umeona sawa kbs,hapo sina tumaini tena,kwa upande mwingine siwezi lalamika acha na wao wasomesome jamani,ila sasa shahidi zangu wana jf wengi wetu hapa ndo tuna watoto wawili au mmoja,sasa wamefaa kwenda day care,bado tunaendelea kuzaa utamuacha day care huyo wa miezi mitatu pia?
 
jaman habarini za mwaka mpya.sijui ni mimi tu ninae pata shida au na wengine,hawa wasaidizi wa kazi hawapatikani kabisa,hivi nini kulikoni?nasikitika sana watoto wetu watalelewaje kwa staili hii,mimi nilikuwa na mmoja,tumevumiliana kwa mapungufu yetu kwa mwaka mzima na nusu,kaenda krismas hajarudi mpaka leo na hapatikani,.wamama wenzangu na wababa hebu nipeni njia mbadala za kupata mwingine,nimeshatafuta mpaka nadata,nitaacha kazi nilee au nitafanyaje mimi?
angalia kwenye blu alafu utafakari kwa makini kwa nini nimesema hivyo..labda ukiri hukumaanisha ulichoandika
 
Jaman habarini za mwaka mpya.sijui ni mimi tu ninae pata shida au na wengine,hawa wasaidizi wa kazi hawapatikani kabisa,hivi nini kulikoni?nasikitika sana watoto wetu watalelewaje kwa staili hii,mimi nilikuwa na mmoja,tumevumiliana kwa mapungufu yetu kwa mwaka mzima na nusu,kaenda krismas hajarudi mpaka leo na hapatikani,.wamama wenzangu na wababa hebu nipeni njia mbadala za kupata mwingine,nimeshatafuta mpaka nadata,nitaacha kazi nilee au nitafanyaje mimi?
dah pole sana, funguka usaidiwe upo sehem gan, na mshahara wakuanzia utampa shngapi then mi nnaye kutafutia utanitoa shingapi huku kwetu wapo wavumilivu na watiifu.
 
mimi ukinipa 70 nakuja ila niambie mumeo ana umri gani kwanza kama mzee
:wave:
:wave:
 
asante kwa ushauri,hayo yote nilizingatia,nilimwongeza mshahara alipotimiza mwaka,achilia mbali incentives nyingine pia zinazoeleweka nilimpa,alipokuja alitoroka kwao kwakuwa alitolewa mahari na hakutaka kuolewa kwa nguvu,lakini sasa nahisi kakua kaenda kuolewa kwani nimempa mtaji kwa hela nilizokuwa namhifadhia benki

Kaenda Kuwa MJASIRI AMALI Na Si Kuolewa Kama Unavyodhani.Mpeleke Mtoto Day Care Iliyo Karibu
 
Kupata mke siku hizi ni rahisi kuliko kupata housegirl!
 
Back
Top Bottom