msaada....interview za UTUMISHI katika tutorial assistant

msaada....interview za UTUMISHI katika tutorial assistant

van penga

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
74
Reaction score
4
habar wadau....naombeni mnijuze modality za ku interview kwa post za tutorial assistant chini ya tume ya ajira, pamoja na vitu gan vya kuzingatia kwenye interview zao
 
Field gani umeitwa? Unaenda oral au written? Kama written maswali huwa manne na unatakiwa kujibu ndani ya dakika 40. Questions are too general depending on the field you applied. The most important thing is self confidence when you are tackling questions in an interview.

All the best

Sent from my BlackBerry 9105 using JamiiForums
 
habar wadau....naombeni mnijuze modality za ku interview kwa post za tutorial assistant chini ya tume ya ajira, pamoja na vitu gan vya kuzingatia kwenye interview zao

Jiandae kuandaa power point presentation ya any topc in ua field ya about 10 slides in 1 hr na kupresent pia with confdence.All de best.
 
asanteni wadau....nmeitwa chuo cha mipango tutorial assistant development finance and investment planning
 
Back
Top Bottom