dream chaser
Member
- Nov 2, 2013
- 31
- 3
wanahitajika walimu wa kufundisha primary school kuanzia grade five mpaka seven shule ni english medium kwa masomo ya mathematics, english, science, vocational skills na mengineyo!! wanahitajika walimu wazur na kuaminika!!
peleka cv yako na barua ya maombi veritas extended schools kimara mwisho
kwa maelezo zaid wasiliana na mim through my email bigboyinvestor@ gmail.com or ni PM
peleka cv yako na barua ya maombi veritas extended schools kimara mwisho
kwa maelezo zaid wasiliana na mim through my email bigboyinvestor@ gmail.com or ni PM