Natafuta chumba Dar!

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
829
443
Wanajamvi Heshima Mbele!
Nafanya kazi maeneo ya Mikocheni.
Natafuta chumba cha kuishi
maeneo jirani kama vile Mwenge,
Kawe, Kijitonyama, Kinondoni,Sinza,
Magomeni, mbezi beach. Au sehem
ambapo nitapata usafiri wa moja
kwa moja hadi kazini kwangu.
Chumba kiwe na umeme na maji
au km maji hamna yawe
yanapatikana jirani.
Sio lazima kiwe self -contained.
Bei ni 25,000/= hadi 30,000!
Kwa mwenye Taarifa tuwasiliane
kupitia 0718-257680.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom