Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,635
Habari zenu wakuu,katika hili jukwaa nimekuwa nikitoa tangazo la kuomba nafasi ya kuvolunteer,Lakini cjafanikiwa kupata kama ni barua nimezipeleka kwenye kampun kadhaa lakn mpaka sasa naona kimya....Au mpaka nitoe mshiko wadau kwan inawezekana mkono mtupu haulambwi nini