wapendwa salama,mimi ni kijana mwenye miaka 23,na taaluma yangu ni umeme na nina ngazi ya NTA level 2,nilikuwa naomba msaada wenu wa kupata nafasi ya kuvolunteer kulingana na taaluma yangu..Aliye tayari Ani-PM.
Lakini hapa umeweka kwenye jukwaa ambalo sio sahihi mdau, lipo jukwaa lake kule "Nafasi za Kazi na Tenda" lakini sio mbaya Mods watakusaidia kuhamishia kule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.