Habari yenu jf. Samahani waungwana kwa yeyote mwenye lile tangazo la AJIRA PCCB lililotolewa SEPTEMBER 2013 KWA AJILI YA MAOMBI YA KAZI HIZI TAFADHALI ANISAIDIE.
Katika maisha inabidi ukubali sio lazima upate kila unachotaka na kujilinganisha na wengine ndio kinauma.
Kuna watu wanalalamika kutoitwa na PCCB kama ndio mwisho wa maisha kana kwamba PCCB...
The 14 Most Common Reasons Job Hunters Are Not Offered Jobs (according to the companies who do the interviewing and hiring): 1. Low level of accomplishment
2. Poor attitude, lack of...
Angalia kazi mpya TanzaniaGraduates.com kama zinakufaa.
SERVICE SUPPORT.
EPIDEMIOLOGIST OR STATISTICIAN.
TECHNICAL OFFICER .
IT. TECHNICIAN (Committed Christians only)
ASSISTANT ACCOUNTANT...
Habari wakuu. Mimi ni mtanzania mwenzenu nna uzoefu mkubwa nimefanya kazi sehemu 4 tofauti.
1. kama msimamizi wa internet cafe
2. nimefanya kazi na NGO kama youth affairs coordinator
3...
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO MAALUMU YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA KWA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015
Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi...
Our client is a Leading retail store for ladies and children wear including accessories in Tanzania. We are now looking for a Sales Executive to develop and maintain current and new business in...
habari zenu wadau wa jf
Hivi majina ya watu waliosomea electronics and telecommunication engineering amesaulika au ndo yamefungiwa ktk droo ingawa nafasi zao zilitangazwa pia ktk investigation...
Perfect Internet Inc. a member driven global website based in Las Vegas, USA is going to have thousands of job openings in your local area in the areas of administration, marketing, sales...
Kampuni ya ujenzi inahitaji mafundi 2 wa ujenzi kwa ajili ya shughuli za ujenzi, uzoefu ni miaka mitatu. Tuma CV na nakala ya cheti chako kwa e mail: toptechcontractors@gmail.com kabla ya tarehe...
ENYI MAKAMPUNI MAKUBWA WENYE MIGAHAWA KWA AJILI YA WAFANYAKAZI WENU INAKUWAJE MNATANGAZA TENDA KWA AJILI YA WATAALAMU WA VYAKULA ILI KUHUDUMIA MIGAHAWA ZENU LAKINI WOTE WANAOOMBA WANAKUWA...
Toyota harrier lexus 4 linauzwa milion 21, gari limeshatembea km 600 tu , limetengenezwa mwaka 2011, limeshalipiwa kodi zote pamoja na bima.mawasiliano 0713-377066
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.