bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
Habari zenu...
Ndugu zanguni.
Naomba kuuliza kama zile nafasi walizotangaza Mwanainchi communication mwezi wa December 2013, wameshaanza kuita for interview...??
kwa yeyote anayejua ani/tufahamishe....ili kama nako kupo kama pccb basi niendelee kuapply kwingine.
Shukrani!!