habari ndugu zangu wa jf,jamani natafuta kazi ya ualimu shule za msingi kwa kujitolea,niweze kukidhi mahitaji yangu binafsi wakati nikisubilia ajira.nimehitimu chuo cha ualimu grade a mei mwaka jana.naombeni msaada wenu wana jf
kujitolea ni kufanya kazi bila kuhitaji kulipwa sasa utakidh vipi mahtaji yako kama hutalipwa pesa yoyote.mkuu bainisha wapi hujanielewa?
Kama ulisoma ili uje ufundishe kiswahili tayari umeshafeli. Hilo neno "nasubilia" ndio kitu gani. Halafu unaanza sentensi mpya kwa herufi ndogo. Ukifundisha kwenye shule yangu ni majanga.habari ndugu zangu wa jf,jamani natafuta kazi ya ualimu shule za msingi kwa kujitolea,niweze kukidhi mahitaji yangu binafsi wakati nikisubilia ajira.nimehitimu chuo cha ualimu grade A mei mwaka jana.naombeni msaada wenu wana jf
Kama ulisoma ili uje ufundishe kiswahili tayari umeshafeli. Hilo neno "nasubilia" ndio kitu gani. Halafu unaanza sentensi mpya kwa herufi ndogo. Ukifundisha kwenye shule yangu ni majanga.