Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,428
- 1,660
Kama ni mda mrefu unatafuta kazi na aujapata.Usikate tamaa,endelea kupeleka maombi yako kila uonapo tangazo la kazi.Hiko siku utapata kwani Mungu anacho tazama ni nia ya Moyo wako na tamanio la moyo wako.Atakupa kazi kwa wakati wake.Usikate tamaa wala usiogope.Siku moja utapata kazi na historia yako itakuwa ushuhuda.