- Be yourself, express what you know (usitake kujifanya unajieleza kama fulani)
- Confidence (kila mwajiri anataka mfanyakazi anayejiamini)
- Answer the question, be specific (usirembe na maneno yasiyo husika, sikiliza swali, toa jibu la swali, usiongeze vikorombwezo)
- Zingatia muda
- Muonekano wako (kuwa "smart")
- Face the interviewers ( usiangalie pembeni, relax watazame, wasikilize, wajibu)
- Speak only when you are spoken to (usianzishe majadiliano, fika, salimia subiri maelekezo)
- Tembea na nakala za vielelzo vyako (vyeti etc)
- Fahamu historia yako, lini umesoma umamaliza lini, umefany akazi wapi, kuazia lini etc
- PCCB ni taaisi ya uchunguzi, kabla hujaitwa kwenye usaili wanafanya uchunguzi wao kukufahamu, usipindishe maneno, be strainght forward, usiongeze chumvi ukadhani utapata kazi