Naomba msaada, natafuta kazi hata ya kujitolea(volunteers).

Naomba msaada, natafuta kazi hata ya kujitolea(volunteers).

ops

Senior Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
112
Reaction score
5
Habari za leo wadau wa jamii forum, jamani natafuta kazi, hata ya kujitolea kwa muda (volunteers) katika taasisi yoyote ile, nimesomea fani ya Rasimali watu (Human resources) ngazi ya Shahada(Degree).Pia nina uzoefu katika Mauzo na Masoko, please naomba msaada kwa yoyote anayeweza kunisaidia kwa hilo. Mungu awabariki contact 0713094343, mhassani84@yahoo.com au waweza pm.thx
 
Kwangu ipo ila siyo ya kujitolea unaweza kufanya m.pesa contact 0715 877933
 
Kwangu ipo ila siyo ya kujitolea unaweza kufanya m.pesa contact 0715 877933

Sijui mimi ndio mlevi au? Sasa MPesa ya nini tena> Mbona tena unaweka no ya tiGO? Mweh:frusty:
 
asanteh, nimetuma maombi nasubiri majibu
 
tutawasiliana kwa namba hiyo ya tigo.
 
asante kwa maoni yako but mm sipo interest na jeshi
 
Habari za mchana wadau, natumai Mungu anatenda. Nina ombi moja tu kwenu kaka zangu, dada zangu, mama zang na baba zangu naomba yeyote anayeweza nipa kazi ya kujitolea nimesomea mambo ya manunuzi na ugavi (procurement and supplies,, degree) nachotaka ni kua busy kama mtu ataniajiri Mungu ashukuriwe na abarikiwe sana ila mim ombi langu kwenu ni kuvolunteer tu, nataka kua busy tu. namba yangu ni 0654111423 niko dar es salaam na sichagui kazi na nina utaalamu wa masoko pia na uzoefu. Samahani kwa usumbufu na mungu awafanyie wepesi katika shughuli zenu,, popote tanzania nitakuja kushirikiana nanyi. 0654111423

Me nilijitolea kukusaidia Kwanini umeamua kuniibia?
Sasa naomba unirudishie vifuatavyo
-STAFF ID
-B.CARDS
-SALES BOOK
-CASH 48,000/= MAUZO YA SIKU 1
WANA JF HUYU BWANA HAPO JUU AMBAE JINA LAKE HALISI NI GEORGE E. MBAULE SI MUAMINIFU KWANI KAMA ALIVOJIELEZA HAPO KWA UNYENYEKEVU ,ME NILIMCHUKUA KAMA SALES MAN ALAKINI MATOKEO YAKE NDO HAYO.
SIWEZI KUSEMA VIJANA WA JUKWAA HILI SI WAAMINIFU ILA TUNAPOWACHUKUA TUWE MAKINI SANA
 
Dah,mkuu kama ni kweli tunashukuru kwa kutupa tahadhari. Nilitaka kumuunganishia kazi ya u kaunta,lakini nikajiuliza mbona kadandia kwenye ombi la mwenzake!.Ndio uzuri wa jf

Nilichoandika hapa n ukweli kaka
 
Back
Top Bottom