Naomba msaada wa ushauri kuhusu huu mkanganyiko

kichakorojack

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
78
Reaction score
12
nashindwa kuelewa kitu gani kimetokea. Tulipigiwa simu mimi na wenzangu katika taasis moja ya serikali kuwa tumepata kazi kwa hiyo tunatakiwa kuripoti kwa ajili ya kuanza kazi. Cha kushangaza siku ya kuripoti tukapewa short notes kuwa tunatakiwa kufanya interview ya pili kitu ambacho tuliduwaa kwa kweli kwa sababu tuliitiwa kuanza kazi na sio interview. Wakati wa interview wakatuambia watatuita. Mwenye uelewa na hili jambo pls naomba mnieleweshe nini maana yake?
 
Hapo naona wameuza kazi zenu, kwa kiswahili kizuri wamepewa wengine. Poleni
 
nashindwa kuelewa kitu gani kimetokea. Tulipigiwa simu mimi na wenzangu katika taasis moja ya serikali kuwa tumepata kazi kwa hiyo tunatakiwa kuripoti kwa ajili ya kuanza kazi. Cha kushangaza siku ya kuripoti tukapewa short notes kuwa tunatakiwa kufanya interview ya pili kitu ambacho tuliduwaa kwa kweli kwa sababu tuliitiwa kuanza kazi na sio interview. Wakati wa interview wakatuambia watatuita. Mwenye uelewa na hili jambo pls naomba mnieleweshe nini maana yake?

acha uongo. kama si uongo ni taasisi gani ya serikali
 
Back
Top Bottom