Tangu mwaka 2011 mpaka today, job sina, umri unaenda, kuoa nashindwa, nimegraduate, nimefanya interview kibaao, but no job, jaman?
Tangu mwaka 2011 mpaka today, job sina, umri unaenda, kuoa nashindwa, nimegraduate, nimefanya interview kibaao, but no job, jaman?
Shule nyingi za private zinahitaji walimu sana, jaribu kuomba kufundisha kile ulichosomea kwa kuanzia badala ya kupoteza resource uliyonaya maana wewe tayari ni resourceful. Baada ya hapo unaweza kuanza mipango ya kuoa, tafuta mchumba kama bado lkn kama yupo tayari basi hongera. lkn pia kama tayari unaye mchumba ambaye tayari ana kazi mnaweza kukubaliana kuoana hata kabla wewe hujapata kazi kwani unapoingia kwenye ndoa wakati mwingine ndio mwanzo wa maendeleo yenu kwa sababu mnapokuwa wawili si sawa na unapokuwa peke yako. Ukichunguza sana utaweza kugundua kuwa wanaume wengi wameanza kuwa na maendeleo kimaisha mara tu wanapoingia kwenye ndoa. Usiogope, muombe Mungu atakusaidia.
Kufunga kwako ni wajibu mkuu
umeongea vitu vya msingi sana mkuu we unadhani ni msichana gani atakayemkubali mwanaume asiye na kazi? kwa kweli ni ngumu sana kwa dunia ya sasa hivi coz mara tu unapomuapproch msichana swali la kwanza ni unafanya kazi gani na wapi?Hivi tausi unadhan km jina lako ndivyo ndege wengine walivyo wazuri? 1..Sio wote wenye uwezo wa kufundisha mm sina kazi na nina elimu nzuri tuu lkn kufundisha siwez..
2..hivi ndoa ni kuoana tuu?? Kwa wanawake wa siku hizi huna kaz hiyo nyumba amani inatoka wapi? Kuna mahari posa na makorokoro kibao ambavyo mwanaume ndo atatoa ss kumwingiza chaka mwenzio ndo nn? Ukute hapo yuko kwa mshua still na demu hvy hvy