monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,780
Jamani wadau hivi kwanini hizi recruitment agent wakati zinatangaza kazi kwanini huwa hawasemi majina ya hayo makampuni? Kwa nini hayo makampuni hayajiamini? hofu yao ni nini?
Ukiingia kwenye website zao hizi recruitment agent utakuta zinatoa nafasi nyingi za kazi bila kutaja majina ya kampuni, NA VILEVILE Kwenye magazeti au mitandao utakuta makampuni yenyewe baadhi lakini yanatangaza kazi bila kutaja majina ya makampuni yao...wanamtega nani sasa?