Ukosefu wa Ajira Unaweza Kusababisha Ukajinyonga

Ukosefu wa Ajira Unaweza Kusababisha Ukajinyonga

Mbofu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
228
Reaction score
32
Wakubwa nilimaliza chuo nikiwa 26 sahivi naenda 30 sina ajira.

Nipeni tu pole
 
Ajira jitafutie mwenyewe wala sikuchagulii cha kufanya. Ukishaamua tafuta mtaji wa kuanzia na nina imani ndugu na marafiki zako watakusaidia. Baadae jiunge na saccos ili uweze kuongeza mtaji wako. Inawezekana play your part.
 
mmmh!!! majanga!! kweli pole tuu ndugu yetu..
ila muombe mola, usikate utapata tuu
 
labda nikupe hongera hasa kama hauna chochote unachokifanya. Endelea kusubiri.
 
  • Thanks
Reactions: Luv
ulisoma kozi gani? Nina maana kubwa ya kukuuliza hivyo labda naweza kusaidia.
 
inauma aisee... sometimes tunajionaga tuna mikosi, yaani tuko jela hafu milango imejilock
 
Pole sana!!! naongeza tena pole sana! tatizo baadhi mnakariri kuwa mkimaliza chuo mnataka kuajiriwa.

Utasubiri sana! hebu jijengee kuwa ulikuwa unasoma ili kuongeza maarifa sio ili uajiriwe baadae. Nn kinakushinda kujiajiri?
 
Pole sana!!! naongeza tena pole sana! tatizo baadhi mnakariri kuwa mkimaliza chuo mnataka kuajiriwa.

Utasubiri sana! hebu jijengee kuwa ulikuwa unasoma ili kuongeza maarifa sio ili uajiriwe baadae. Nn kinakushinda kujiajiri?

Kama mtaji hana afanyeje,acha kumkejeli.Kama huna cha kumshauri bora ukae kimya
 
You should consider doing internship or volunteer opportunities, kuliko kukaa nyumbani ili ukutane na watu mbalimbali na kupata ujuzi wa kazi
 
pole sana mkuu, lakini kuna kila sababu za mtazamo wako kubadilika SHULE NI KWA AJIRI YA KUPATA ELIMU/UFAHAMU. Hivyo basi ni wajibu wako kutumia ELIMU yako kwa kutenegeneza ajira yako mwenyewe, hapa najua utataka kusema huna mtaji, afu watu wengi wamekariri mtaji ni PESA tu, ndo mana miaka nenda rudi wanajikuta hawasongi mbele, mara nyingi FURSA hupatikana mahala ulipo tambua jamii yako wanahitaji huduma gani then toa huduma hiyo, Ulimwengu huu unaendeshwa na mifumo kadha wa kadha lakini mfumo mama waitwa "CAUSE AND EFFECT"..huwezi kaa nyumbani kisha ukadai ajira ngumu/hazipatikani akati huyo ajira hana kawaida ya kupitia watu majumbani mwao, angalizo usiifananishe Degree/Diploma kama kitu chenye thamani fulani hivi, kwa mtindo huu huwezi fika mbali kwani kiukweli maisha ni ubunifu na hayana kanuni, kwani waweza kuwa Prof au Dr alafu ukawa na maisha duni hata darasa la SABA akakupiga kikumbo. Chukua hatua mkuu umri unakimbia huo..
 
Hahahah nacheka kwa uchungu. Ila ndugu usikate tamaa pambana one day yes tena bora ya ww umefka chuo wenzio apa elimu ya kuunga unga bado tunasugua gaga mtaani wala hatuna uhakika wa kesho yetu ila bado hatujakata tamaa jitahid kaka angu huaga naamini kila mtu na fungu lake duniani litachelewa au kuwah lakini lazma litakuja
Wastani wa mtu kuishi Tanzania ni miaka 45.wewe unamwambia bado kijana sana
 
in the end everything will be ok, if its not ok its not the end, be patient.
 
Back
Top Bottom