Wizara ya mambo ya ndani ya nchi idara ya uhamiaji...

Wizara ya mambo ya ndani ya nchi idara ya uhamiaji...

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803

FEB142014



immigrt12.jpg

Kamishna Mkuu wa idara ya Uhamiaji anatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji kwenye

vyeo vya Koplo na Konstebo wa uhamiaji.

A: MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI NAFASI 70
1. SIFAZINAZOHITAJIKA
Awe na shahada ya kwanza au Stashahada ya juu kutooka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na serikali katika fani zifuatazo; Sheria, Uchumi, Biashara, Utawala, Uandishi wa habari, Ualimu, Usafirishaji, Rasilimali watu, Sayansi ya kompyuta, Teknolojia ya mawasiliano, Takwimu, Uchapaji, Uhandisi majengo na Uhandisi Mitambo.
Awe na umri usiozidi miaka 35
2. MAJUKUMU NA KAZI ZA KUFANYA
(i) Kusimamia doria sehemu za mipakani, Bandarini, Vituo vya Mabasi, Treni na sehemu zenye vipenyo vya kuingia na kutoka nchini vikiwemo vya majini.
(ii) Kusimamia shughuli za upelelezi, kuandaa hati ya mashitaka na kuendesha mashitaka.

(iii) Kutoa na kupokea fomu mbali mbali za maombi ya hati za uhamiaji
(iv) kufanya ukaguzi wa mwanzo wa maombi mbalimbali
(v) kupokea na kukagua hati za safari, fomu ya kuingia na kutoka nchini.
(vi) kuidhinisha malipo mbalimbali ya huduma za uhamiaji kwa wanaostahili
(vii) kuagiza ufunguaji wa majalada ya watumiaji
(viii) kutunza kumbukumbu za ruhusa kwa wanaongia na kutoka nchini
(ix) kukusanya, kusimamia na kutunza takwimu za uhamiaji na uraia

(x) Kuandaa majibu ya maombi yote ya huduma za uhamiaji yaliyokubaliwa au kukataliwa










 

feb142014



immigrt12.jpg

kamishna mkuu wa idara ya uhamiaji anatangaza nafasi za kazi katika idara ya uhamiaji kwenye

vyeo vya koplo na konstebo wa uhamiaji.

a: Mkaguzi msaidizi wa uhamiaji nafasi 70
1. Sifazinazohitajika
awe na shahada ya kwanza au stashahada ya juu kutooka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na serikali katika fani zifuatazo; sheria, uchumi, biashara, utawala, uandishi wa habari, ualimu, usafirishaji, rasilimali watu, sayansi ya kompyuta, teknolojia ya mawasiliano, takwimu, uchapaji, uhandisi majengo na uhandisi mitambo.
awe na umri usiozidi miaka 35
2. Majukumu na kazi za kufanya
(i) kusimamia doria sehemu za mipakani, bandarini, vituo vya mabasi, treni na sehemu zenye vipenyo vya kuingia na kutoka nchini vikiwemo vya majini.
(ii) kusimamia shughuli za upelelezi, kuandaa hati ya mashitaka na kuendesha mashitaka.

(iii) kutoa na kupokea fomu mbali mbali za maombi ya hati za uhamiaji
(iv) kufanya ukaguzi wa mwanzo wa maombi mbalimbali
(v) kupokea na kukagua hati za safari, fomu ya kuingia na kutoka nchini.
(vi) kuidhinisha malipo mbalimbali ya huduma za uhamiaji kwa wanaostahili
(vii) kuagiza ufunguaji wa majalada ya watumiaji
(viii) kutunza kumbukumbu za ruhusa kwa wanaongia na kutoka nchini
(ix) kukusanya, kusimamia na kutunza takwimu za uhamiaji na uraia

(x) kuandaa majibu ya maombi yote ya huduma za uhamiaji yaliyokubaliwa au kukataliwa










kaka wapi wameandika wanataka cheti cha darasa la saba? Wameandika tu maombi yatumwe kwa katibu mkuu.
 
Tangazo halijakamilika,nakala ya cheti cha darasa la saba inahitajika
kaka wapi wameandika wanataka cheti cha darasa la saba? Wameandika tu maombi yatumwe kwa katibu mkuu.
 
hakuna cheti cha darasa la saba watu wazushi

we ndio mzushi ambae hujasoma vizuri tangazo unapotosha watu...wameandika wanataka cheti cha kuhitimu elimu ya mcng mbali na cheti chako cha degree
 
Nimegundua kwamba baadhi ya watanzania ni wavivu katika utafutaji, hapo hapo mtu anahitaji umtafutie Tangazo la kazi, hivi unahitaji msaada gani zaidi ya hapo? Wadau wametumia muda wao, pesa yao kukusaidia katika kukuelekeza mahali au chombo kilichotumika kutangaza hizo nafasi! Inafikia kipindi tuache ujinga!

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom