Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Mimi narudisha fadhira.
Ingawa nilikuwa na kazi taasisi binafsi ila hapa hapa jamii forum nilipata tangazo la kazi la tume ya ajira katika utumishi wa umma(PSRS) la mwezi july,2013 na nikaomba kazi.
January mwaka huu tukaitwa usaili na juzi nimetolewa website yao nimepata kazi.Leo ndo nimetoka hapo secretariat kuchukua barua ya ajira na anytime ntaripoti Kibaha Education Centre(shirika la umma) kuanza kazi.
MUNGU MKUBWA.