Mimi mwenyewe natafuta kazi nina class C na cheti cha VETA pamoja na NIT kwa yeyote anaeweza kunisaidia nipo tayari,
Pia wapo ma Dereva wenye uzoefu wa maloli makubwa wawili wenye uzoefu na njia Za Zambia Kongo na Burundi pia Rwanda.....kwa mawasiliano 0798-077166 au 0683-011022
sio lazima nijaze server hata hapa panatosha.Ulikuwa wapi anzisha uzi wako kabla ya huyu jamaa kuanzisha?achen roho mbaya nyie