Polisi,magereza,uhamiaji,zima moto..mishahara yao wote sawa.
acha kudanganya
Wanandugu tujuzane mwenye ufahamu wa( takehome) ya askari wa magereza ambaye hana taaluma. Maana mimi ni miongoni mwa anaye elekea huko sababu viwango vya utumishi vya TGS take home yake huwa inapungua naombeni msaada.
usibishe kitu usichokifahamu
Usiulize mshahara nenda kafanye kazi ngoja nkwambie kwa kifupi wizara ya mambo ya ndani police wanaongoza kwa mishahara mikubwa kwa graduate ni karibia sawa na TGS E ukiwa FFU kuna nyongeza flan tofauti na unit zingine pia CID wanapata some allowances wakienda kufanya upelelezi
NB.Police recruit direct from universities.
Umeandika kwa mbwembwe nyiiingi huna unachokijua.Mshahara wa askari wa Polisi, Magereza, uhamiaji na Zimamoto ni sawa.
Kama ni hivyo hawa jamaa mbn wanaaibisha sana yaani hakuna hata kitengo chenye afadhali kwa rushwa na kuomba omba. Wanapenda vya bure utadhani hawana mshahara.Usiulize mshahara nenda kafanye kazi ngoja nkwambie kwa kifupi wizara ya mambo ya ndani police wanaongoza kwa mishahara mikubwa kwa graduate ni karibia sawa na TGS E ukiwa FFU kuna nyongeza flan tofauti na unit zingine pia CID wanapata some allowances wakienda kufanya upelelezi
NB.Police recruit direct from universities.
Kama ni hivyo hawa jamaa mbn wanaaibisha sana yaani hakuna hata kitengo chenye afadhali kwa rushwa na kuomba omba. Wanapenda vya bure utadhani hawana mshahara.